Al Kaaba Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi kumefanyika hafla ya kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa baada ya kuwadia mwezi wa Muharram 1444 Hijria, ambao ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu.
Habari ID: 3475561 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa.
Habari ID: 3471640 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20